Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Nashukuru kwa insight zako makini, lakini utusaidie kuhusu huu mstari kama basis ya Hoja.

Hesabu 13:33
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Assuming wote walikufa kwa gharika iliwezekana vipi hawa wana wa Yakobo wawaone tena kule Canaan?

Kuhusu watu 8 kupona unajua its tricky bible ikisema WATU specific inaweza kuwa ni walengwa tu..... Mfano

YUDA
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu

Lakini ukisoma mwanzo utagundua Cain alishazaa vizazi vingi mpaka seth anazaliwa ambaye ndio lineage ya Henoko. So haiwezekani akwa literally mtu wa 7 kama Yuda anavyosema? So naweza adress hivo hiyo nadharia ya watu 8 kupona kwamba ili focus kwa context ya eneo hilo.
 
Swali muhimu ni , je, mama yake alikuwa mtu wa namna gani.
Mkuu hata watu warefu duniani walizaliwa tu kma mimi na wewe sema wanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu kuliko average human being kwa sababu za kijenetiki. So Mama yake hta akiwa Giant au mtu wa kawaida bado angezaa mtoto wa kawaida tu ila baada ya mwaka ukuaji wake unakua tofauti na watoto wenzie waliozaliwa siku moja.

But kwa muktadha huu kulikua na kizazi kabusa cha ma giants kwenye biblia tunaona koo kma Anakim, Rapha, zinatajwa kama majitu makubwa kuliko kawaida. Mfano soma 2 Samuel 21 kuna njemba zenye mikuki ya kilo 7 so unaweza ona Walioa na kuzaliana wakiwa giants kabisa.

Hata kwenye Quran ukisoma Surat Hud utaona alitumwa kwenda kwenye jamii ya giants ambao walikua wakubwa kuliko average humans waliitwa AaD. So unaweza ona ni hereditary Mama akiwa giant na mtoto naye giant.
 
Shule hazijafunguliwa jamani ? Au walimu wamezembea kuthibiti watoro ??????
Usiwe popompo wa kuzinguka na ac mpya ww,wenzako secondary tulimalizaga wkt mwinyi anaachia nchi,kende
 
Noah's floods was a story copied from ancient stories of Kemet and Mesopotania...
It was a myth.
 
mi sijaona sehemu inasema wanefili walikuwepo duniani kabla ya binadamu
 
Nadhani huyu Ogu alipona na gharika japo hatujui ni kwa jinsi gani,vinginevyo inabidi tuambiwe ilkuwaje Wana wa Israel wakamkuta tena huko Kaanani ilihali viumbe wote walikufa kipindi cha Gharika isipokuwa familia ya Nuhu tu.

Swali langu lipo hapa:

Hesabu 13:32 SRUV

Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala wakazi wake; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu wakubwa mno.

Je huyu Ogu na wakazi wa nchi yake walikuwa wakila watu?naombeni ufafanuzi hapa,kama ni kweli.
 
Ya wezekana
 
Masalia ya Wanefili
 
Kama malaika waliacha miili na kukimbia kwanini kipindi hiki hawavai tena miili na kuja kulala na binadamu?
Au binadamu wa sasa hawawavutii
huu mchezo siku hizi wanafanya upande wa giza, na wale mijusi...naskia..
 
1. Hiyo nadharia ya kwamba alipona kwenye gharika ya Nuhu kwa sababu ya urefu wake, ikumbukwe mvua ilinyesha muda wa siku 40 na ile gharika hadi kuja kutua kwenye mlima Ararati ilipita zaidi ya siku 100, kwa siku zote hizo chakula alikuwa anapata wapi?

2. Kama ktk Wanefili alisalimika yeye tu pekee je kwa urefu huo aliweza kupata mwanamke wa kibinadamu kumuoa na mwanamke huyo akastahimili show ya jitu kama hilo maana mashine yake itakuwa ni zaidi ya Ak47?
 
Mkuu chakula si hata samaki wa baharini and in fact mafuriko huzoa wanyama, matunda n.k so unaweza kuta tu swala anaelea au samaki unapita naye tu!! Kingine kwa ukubwa huo sidhani kama endurance yake ni kama ya mtu size yangu. Huyo anaweza absorb maji na kukaa njaa muda mrefu kuliko normal sized binadamu.
2. Kama ktk Wanefili alisalimika yeye tu pekee je kwa urefu huo aliweza kupata mwanamke wa kibinadamu kumuoa na mwanamke huyo akastahimili show ya jitu kama hilo maana mashine yake itakuwa ni zaidi ya Ak47?
Hahahhaha Imebidi nicheke kwa sauti mkuu, umewaza mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…