Mfalme Okwi aanza cheche zake Simba SC

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
13,481
Reaction score
28,116
Inasemekana mchezaji emanuel okwi,jana alimpiga kichwa kwa maksudi kocha wa timu hiyo omog,baada ya kocha huyo kutaka maelezo ya kiundani kutoka kwa mchezaji huyo,baada ya kuchelewa kujiunga na kambi ya timu hiyo,okwi alikuwepo kwao uganda kuiwakilisha the cranes kwenye michuano ya awalimya kombe la dunia kwa bara la afrika,uongozi wa simba uliomba jambo ili liwe la siri,lkn inasemekana mchezaji mmoja ambaye kwa sasa anasugua benchi kutokana na maelekezo kiongozi mmoja wa juu simba,ndie alievujisha siri hii
 
Nazan inaweza ikasemekana kuwa hajapigwa na Okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa kweli maana gazeti la mbumbumbu fc limetangaza kocha mzungu yuko kwenye mazungumzo na Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…