Watanzania ni watu tunaopenda Sana majungu sijui kwanini tupo Hv. Ajabu ipi watu kugombana vipi tunageuza tukio last bahati mbaya na kujifanya kuwa la kweli.? Kwann tumekuwa dhaifu kusimama ktk mambo ya ukweli na ya Kujenga Nchi ila tumeamua kuwa jasiri ktk kuusemea na kushangilia uongo ktk mitandao na mikahawani. Nguvu tunazotumia ktk kusema uongo tungetumia ktk kweli hakika tungefika mbali Sana. [emoji184] khs okwi alimpiga kichwa kocha wk Makusudi siamini. Ht km ulieandika Mada hii hupendi simba bado uongo wako ni dhambi Kwa mungu. Niyvyema kuwa majasiri ktk ukweli ni uongo