Mfalme Pharao ni mkali wa Swahili Rhumba

Mfalme Pharao ni mkali wa Swahili Rhumba

King wa Rhumba Tanzania

Mfalme Pharao - Movie

View: https://m.youtube.com/watch?v=TMaPbVvSFbY

Mfalme Pharao - Movie (Sampa Music Africa)Songwriter: Mfalme PharaoSAMPA MUSIC AFRICA Record Label & Artist Management Company.Mfalme Pharao Signed Under SAMPA MUSIC AFRICA Music Label & Artist Management Company.
 
Anajitahidi...


Cc: Mahondaw

King wa swahili rhumba mistari yake mikali na pia mpangilio wa vyombo ipo vizuri. Kila la kheri kwake mtanzania mwenzetu mwenyeji wa kutoka Njombe na Mbeya kutupatia vitu adimu vya muziki wa rumba ulioanza kupotea baada ya bendi za wazee kuchoka, sasa kizazi kingine kinarudi kwa kasi ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom