Mfalme Sulemani hakuandika vitabu vya Mithali

Mfalme Sulemani hakuandika vitabu vya Mithali

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.

Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme Sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani thus akaonekana ndie mwandishi wa vitabu hivyo.

Mfalme Sulemani aliandika kitabu kimoja tu kinaitwa hekima ya sulemani na Mithali viliandikwa na wanandishi wengine akakabidhiwa kama mfalme avitunze.

Je, umeshawahi soma hekima za Yoshua Bin Sita zitafute kwenye Biblia ya wakatoliki ushibe hekima tele zile zimeshiba zaidi ya Kitabu cha hekima ya sulemani na Mithali.
 
Hakuviandika bali alipewa heshima ya uandishi wa vitabu hivyo sababu alikuwa ni mfalme
 
Back
Top Bottom