Mfalme wa Dubai atangaza kanuni kumi za kuendesha uchumi kwa miaka kumi ijayo

Wasipowekeza kwenye jeshi wamekwisha uchumi bila jeshi imara ni sufur

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Source?
 
Mipango mizuri.
Na ili ikamilike lazima misimamo mikali ya sharia ya kiislamu ing'atwe ng'atwe.

Uislamu na Uyahudi ni mgumu kuingiliana na jamii zingine. Nazungumzia uislamu halisi achana na huu uislamu wa kisasa ambao Kafiri anaweza kushikana mkono na muumini wa kiislamu
 
Chichiem wangekua na akil wange copy na kupaste tusonge mbele
 
Oh, wanawekeza sana kwenye jeshi. Yule Crown Prince,Sheikh Hamdan,usually called "Fazza" wants to be the next Alexander of Macedonia.
Wanawekeza kwa kufanya manunuzi ya vifaa na sio kuuunda vya kwako kwa hiyo adui anafahamu unaslaa ngapi za aina gani na udhaifu wake

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
This is the news. It happenned yesterday
Yule Crown Prince ni graduate wa London School of Economics.
Wewe ndiye uliandika? Tutaamini vipi! Aidha kumbuka kuna watu humu walisoma naye LSE! Lete link ambayo ina support mada yako tuamini.
 
Wewe ndiye uliandika? Tutaamini vipi! Aidha kumbuka kuna watu humu walisoma naye LSE! Lete link ambayo ina support mada yako tuamini.
Unasema,"leta link, leta link'. Mimi nilikuwa banned kwa wiki moja hapa JF. Unajua kwa nini nilikuwa banned?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…