Mfalme wa muziki

Mfalme wa muziki

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5 dunia nzima
Screenshot_20231018-222413.jpg
 
Yule mwenzake alimfata Manara kapishana na Dusko.

Tukio la kesho kutwa hadi Ronaldo ataliangalia.

Kuna huyo na ile kampuni ya betting iliyoshindwa kuweka mpunga mrefu.

Wote hao huko waliko wanajutia maamuzi yao.
Kabisa wanajuta mno yaani
 
Ukitoa Maisha ya Mziki na Sanaa hili libaki kuwa ni somo Muhimu sana kwetu.

Imagine Diamond anafanya show kwenye Parade .

Alikiba anakuja kufanya show kwenye tukio zito la KIHISTORIA la mpira wa Africa.

ANGALIA HUO MPISHANO MKALI.
 
Kabisa mwana kitendo cha kwenda yanga kimemkosesha dili
 
Ninachokiona hapa kuna u yanga alafu kuna u team kiba ngoja nishike siti nione nn kinatokea
 
Kumbee...basi kila la heri kwake...
Ila kesho dunia nzima ya michezo ipo Tanzania...
Sasa kama ma top bosses wote wa shirikisho la soka wapo Tz ww ni nani usiangalie....
Kama nawaona utopo wale wenye vijiba vya roho wakichungulia...ila wale uto wenye akili kwa raha zao wameshanunua tiketi waonekane kwenye kideo...
Viva Simbaaa
 
Yule mwenzake alimfata Manara kapishana na Dusko.

Tukio la kesho kutwa hadi Ronaldo ataliangalia.

Kuna huyo na ile kampuni ya betting iliyoshindwa kuweka mpunga mrefu.

Wote hao huko waliko wanajutia maamuzi yao.
Huyo wa betting mahaba yalimponza. Aliweka mahaba mbele kuliko kazi
 
Kumbee...basi kila la heri kwake...
Ila kesho dunia nzima ya michezo ipo Tanzania...
Sasa kama ma top bosses wote wa shirikisho la soka wapo Tz ww ni nani usiangalie....
Kama nawaona utopo wale wenye vijiba vya roho wakichungulia...ila wale uto wenye akili kwa raha zao wameshanunua tiketi waonekane kwenye kideo...
Viva Simbaaa
Nikiwa kama shabiki wa yanga sc naunga mkono hoja 👍👏 na kesho ntakuwepo uwanjani ni wacheki watani zangu pamoja na mfalme Alikiba
 
Back
Top Bottom