Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kabisa wanajuta mno yaaniYule mwenzake alimfata Manara kapishana na Dusko.
Tukio la kesho kutwa hadi Ronaldo ataliangalia.
Kuna huyo na ile kampuni ya betting iliyoshindwa kuweka mpunga mrefu.
Wote hao huko waliko wanajutia maamuzi yao.
Kabisa mwana kitendo cha kwenda yanga kimemkosesha diliUkitoa Maisha ya Mziki na Sanaa hili libaki kuwa ni somo Muhimu sana kwetu.
Imagine Diamond anafanya show kwenye Parade .
Alikiba anakuja kufanya show kwenye tukio zito la KIHISTORIA la mpira wa Africa.
ANGALIA HUO MPISHANO MKALI.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu,poleni sana utopoloMakolo wakijifariji kwakujazana ujinga
Mwambie huyoHakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu,poleni sana utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba kuimba siku hiyo amekuumiza rohoMakolo wakijifariji kwakujazana ujinga
Huyo wa betting mahaba yalimponza. Aliweka mahaba mbele kuliko kaziYule mwenzake alimfata Manara kapishana na Dusko.
Tukio la kesho kutwa hadi Ronaldo ataliangalia.
Kuna huyo na ile kampuni ya betting iliyoshindwa kuweka mpunga mrefu.
Wote hao huko waliko wanajutia maamuzi yao.
Kabisa dili kubwa sana hili kalambaAlly Kiba ataonekana Dunia nzima akitumbuiza,hii shuguhuli ya FIFA na CAF itarushwa kote mpaka Tel aviv na Gaza.
Nikiwa kama shabiki wa yanga sc naunga mkono hoja 👍👏 na kesho ntakuwepo uwanjani ni wacheki watani zangu pamoja na mfalme AlikibaKumbee...basi kila la heri kwake...
Ila kesho dunia nzima ya michezo ipo Tanzania...
Sasa kama ma top bosses wote wa shirikisho la soka wapo Tz ww ni nani usiangalie....
Kama nawaona utopo wale wenye vijiba vya roho wakichungulia...ila wale uto wenye akili kwa raha zao wameshanunua tiketi waonekane kwenye kideo...
Viva Simbaaa
Hana akiliHuyo wa betting mahaba yalimponza. Aliweka mahaba mbele kuliko kazi
mazee kama haya hayana faida yoyote, yanafanya nimiss utawala wa mtaalam idiamin.Makolo wakijifariji kwakujazana ujinga
Timu sadala roho imekuuma 🤣Moja ya sifa ya watanzania ni kukosa akili
Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5 dunia nzimaView attachment 2785877