Anasubiria maalim apate arudi rasmiJamaaa damu za watanzania zinamloilia zimejaa mikononi mwake
Mtawala wa mwisho wa Zanzibar kwa mfumo wa ufalme ambaye alichukuliwa Uiengereza kwa madai ya kupinduliwa leo ametua nchini Oman kutokea London ikiwa ni mara yake ya mwanzo tangu azaliwe miaka 91 iliyopita.
Ametua nchini humo kama wazanzibari wengine wanavyofika kuitembelea nchi hiyo yenye historia kubwa na ukanda ya Afrika Mashariki na kati.
View attachment 1570802
View attachment 1570805
View attachment 1570808
Yupi huyo mkuu..Seif au Hussein?Wasi wasi wako tu.Huyu ni mzanzibari haswa nadhani hata akishinda mtoto wa mfalme mpya atamkaribisha nduguye.
Waliwauza Babu zetu Kama bidhaa,shame on him,
Ngoja nikuache na ujinga wakoBabu zako waliuzwa na Wajomba zao!
Wazungu ndio wahusika wakuu wa biashara ya utumwa unaouzungumzia ambao hasa biashara hii ilifanyika Afrika Magharibi. Kwa hapa kwetu mambo yalipowaendea kombo wakajitia kuwasingizia waarabu na kwa aibu wakajenga kanisa pale walipokuwa wakiwatesa mababu zako.Waliwauza Babu zetu Kama bidhaa,shame on him,
Ilikuwa ni historia tu alipofikia huyo Jamshid kwani ilikuwa watawala ni wazanzibari wenye asili tofauti.Haikuwa tatizo mpaka walipofitinishwa. Mtu mwenye asili ya Oman akitawala Zanzibar tatizo liko wapi.Mbona Tanzania imewahi kutawaliwa na maraisi wenye asili ya Kenya na Msumbiji.Marekani imetawaliwa na mtu mwenye asili ya Uiengereza.Si rahisi kuwatenganisha viumbe vya Mwenyezi Mungu kwa matakwa ya kibinadamu.Wazanzibari mnanishangaza.mnaona fahari kutawaliwa na warabu wa Oman kuliko kujitawala wenyewe. Shame on You.
Waliwauza Babu zetu Kama bidhaa,shame on him,
Wazanzibari mnanishangaza.mnaona fahari kutawaliwa na warabu wa Oman kuliko kujitawala wenyewe. Shame on You.