Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA

Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Screenshot_20190419-185202_Instagram.jpg


MESSI ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA UEFA


Mfalme wa soka ulimwenguni, Lionel Messi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa wiki katika UCL.

Messi amewashinda Matthijs de Ligt wa Ajax, Heung-Min Son wa Tottenham na Roberto Firmino wa Liverpool ambao aliingia nao fainali....
 
Kidogo nikusahihishe ila nilipoona wa kunyumba imebidi niunge mkono juhudi!..
Walipanga kumdrake lakini wakaangukia pua
1075914

Messi atabaki kuwa juuuu!!!,😀
 
Kwa kipi? Hivi uliwahi kusikia zile comments za makocha wakubwa duniani walivyomuongelea King Messi?
Sasa wao na wewe Nani anamfahamu vizuri La pulga?
Cha kufurahisha zaidi mtoto mkubwa wa Cr 7 ni shabiki mkubwa wa King Messi,hii ni kwa mujibu wa ronaldo mwenyewe
Toa pumba zako hapa,hakuna na atoweza kutokea mfalme wa soka Kama CR7 mnyama over.
 
Hyo tuzo wangempa dogo Son wa Tottenham, sina shaka na uwezo wa Messi but dogo Son kaonyesha uwezo sana wiki hii..wangempa tu ili kutoa motisha pia kwa vijana wengine
 
Duh!!!Kweli mtu na akipendacho.Sio mchezaji bora Uefa,ni mchezaji bora wa wiki,UCL.
 
Pia,hizi tuzo,hutolewa kila wiki ya UCL,naona mzee ulisubiria mahabuba wako atwae ndo upost[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi zoooote hukuziona mzee??
20190420_070349.jpeg
20190420_070414.jpeg
20190420_070441.jpeg
20190420_070457.jpeg
20190420_070515.jpeg
20190420_070535.jpeg
 
Back
Top Bottom