Mfano halisi wa rais wa wanyonge

Ni Raisi wa nchi gani huyo?
Alikuwa Rais wa Uruguay lakini hivi sasa hayupo madarakani ingawaje mke wake mwenye life style kama hiyo, kwa sasa ndie Makamu wa Rais!

Huyo mke wake, enzi za usichana wake alikuwa Banker lakini akagundua magumashi kibao pale benki! Akaona isiwe issue, akawasiliana na media na regulators kuhusu hujuma zinazofanywa na benki jamaa hawakumsikiliza! Akaona isiwe kesi, akawasiliana na waasi na kuwaeleza jinsi benki zinavyowadhulumu watu! Jamaa wakaona mwanya sio ndo huu; wakapiga tukio benki, wakakomba nyaraka kibao na pesa ndefu kwa ajili ya ku-finance harakati zao! Baada ya tukio, akapiga mzigo chini akaungana na rebels!

Yale aliyofanya Michael Scofield akiwa na miaka 30, huyo mama (Lucia) aliyafanya akiwa mid 20's. Ni hizo struggles zake ndizo zilimfanya Jose Mujica a-fall kwa bi dada!!

Lakini ajabu zaidi, Lucia anatoka familia bora (yaani familia ya wazazi wake) but still hata wakati yupo First Lady, ndani hawakuwa na house girl hata mmoja, tena wakiishi kwenye nyumba (hawakukaa Ikulu) ya kawaida kabisa! Yaani hata kama ingekuwa Magomeni along Morogoro Rd, ingekuwa imeshabomolewa!
 
Kiongozi hata atembelee guta kwangu siyo hoja, nataka kuona akitekeleza alichoniahidi huo ndo mkataba wangu na yeye.

Maisha yake binafsi yasiyo na impact yoyote kwenye ustawi wangu ni none of my fvcking business.

Na kumiliki guta pekee siyo kigezo cha mimi kukupigia kura dhidi ya wanaomiliki private jets.
 
So, what are you trying to say??
Kama kiswahili hujaelewa hizi lugha za kuja na melia utaelewa kweli? 🤣 🤣 its a Joke man

This is where am trying to build my point.- "During his time in prison, Mujica suffered a number of health crises, particularly mental issues. Although his two closest cellmates, Eleuterio Fernández Huidobro and Mauricio Rosencof, often managed to communicate with each other, they rarely managed to bring Mujica into the conversation. According to Mujica himself, at the time he was suffering from auditory hallucinations and related forms of paranoia"

Kwa kifupi fanya reseach uone watu wanaokuwa na ugonjwa alionao wako vipi then jibu utalipata. AND THAT IS WHAT AM TRYING TO SAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…