Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali?

Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda.

HALAFU MODS HUU UZI SIO WA KUFUTA, BORA UENDE HATA CHIT-CHATS.
kuna jamaa alitukana jf na mods tusi baya la nguoni uzi wake ukafutwa fasta. Kuna watu wana akili mbovu sana, huenda wana matatizo ya akili
 
Kabla ya kungombania nafasi ya Ukurugenzi wa JamiiForums, lazima utatakiwa uwe Share holders au mfanyakazi wa ndani ya JamiiForums.

Hizo sifa unazo mzee baba?.
 
Back
Top Bottom