Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali?

Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda.

HALAFU MODS HUU UZI SIO WA KUFUTA, BORA UENDE HATA CHIT-CHATS.
kuna jamaa alitukana jf na mods tusi baya la nguoni uzi wake ukafutwa fasta. Kuna watu wana akili mbovu sana, huenda wana matatizo ya akili
 
Wazee wa hovyo kama mbowe waache kupanda mbegu ya ubinafsi kwa kizazi cha 2000 . Mbegu ya ubinafsi ikistawi ni hatari kwa Taifa.
 
Kabla ya kungombania nafasi ya Ukurugenzi wa JamiiForums, lazima utatakiwa uwe Share holders au mfanyakazi wa ndani ya JamiiForums.

Hizo sifa unazo mzee baba?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…