MFANO WA MAVAZI NADHIFU

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Benchi la ufundi la taifa stars wakiwa hawajavalia vipensi kama vya ZAHERA wako nadhifu kabisaaa
 
Mwanaume kuonesha legline haifai. Tuwaachie akinamama. Hivyo TFF ipo sawa kumfungia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Matola kavaa suruali ndefu inagusa chini kabisa mda si mrefu tutachukua kombe la dunia
 
mpira wa bongo umevaa sheria kama wanafunzi wa TAMBAZA secondary wanaovyoendeshwa na Islaer mkongo
 
Kwani uwanjani ni ofisi za umma hadi mpangie watu mavazi ya kuvaa??
 
Hii ni aibu sana kwa tff wakiona sura zao sijui wataficha wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…