RAINEL LIHAWA
Member
- Apr 14, 2015
- 34
- 31
MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE
1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa
asilimia 100.
Subtasks.
[emoji736]Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa mwaka WA MASOMO 2024.
[emoji736]Enrolment ya form 1 na 5. Uriport WA kidato Cha kwanza na Cha tano Kwa mwaka 2024
[emoji736]Kuhakikisha lesson notes zimeandaliwa ipasavyo Kwa Kila mwalimu WA SoMo husika
[emoji736]Kukagua maandalizi ya teaching aids Kwa walimu.
[emoji736]Kufuatilia ufundishaji wa vipindi madarasani Kwa walimu wote.
[emoji736]Kusimamia ufanyikaji wa mitihani yote iliyopangwa kufanyika na KUHAKIKISHA inafanyikia Kwa muda muafaka.
[emoji736]Kutoa tathimini ya shughuli za kitaaluma Ilizofanyika Kwa kipindi Fulani.
[emoji736]Kuwapa motisha walimu na wanafunzi wanapofanya vizuri kwenye mitihani Yao.
[emoji736]Kuhakikisha mitihani yote inafanyikia shuleni.
[emoji736]kuhakikisha takwimu zote za shule zinawekwa sawa wakati wote.
[emoji736]Kuuhakikisha siku zote za masomo siku 196 walimu wanahudhuria kazini.
2. Kusimamia nidhamu ya walimu na wanafunzi ifikapo desemba 2024.
Sub-tasks
[emoji736]Kusimamia mahudhurio ya wanafunzi na walimu. Kuhakikisha Kila siku walimu wanawahi na kusign daftari la mahudhurio
Pia kuhakikisha walimu WA zamu wanajaza kitabu Cha mahudhulio ya wanafunzi
[emoji736]Kidhibiti utoro Kwa walimu na wanafunzi
[emoji736]Kuhakikisha wanafunzi waliopangwa shuleni wameripoti wote Kwa wakati.
[emoji736]kuhakikisha Kuna kuwepo na mawasiliano mazuri baina ya walimu na wazazi juu ya kudhibiti utoro.
[emoji736]Kusimamia na kuratibu vikao, semina.
3. Kuboresha/kuimarisha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji ifikapo December 2024 Kwa wanafunzi wote 1477
Subtasks:
[emoji3591]Kusimamia kwa makini miradi yote ya ujenzi wa miundombinu inayoletwa na serikali na kuhakikishwa miundombinu yote inakamilika kwa asilimia 100.
[emoji3591]Kuhakikisha vifaaa vyote vya ujifunzaji na ufundishaji vinapatikana shuleni Kwa wakati
[emoji3591]Kusimamia utengenezaji/ ukarabati miundo mbinu ya shule kama vile viti,meza , madawati, ukarabati WA vyumba vya madarasa, nyumba za walimu
[emoji3591]utoaji wa chakula Kwa wanafunzi wote 1477 wa Rainel secondary.
[emoji3591]kugawa majukumu Kwa walimu wote 29.
4. KUHAKIKISHA shughuli zote za njee na mtaala (extra curriculum)
zinafanyika ifikapo december 2024.
Sub-tasks:
[emoji3591]kusimamia kitengo Cha ununuzi,
[emoji3591]kusimamia shughuli za michezo na burudani
[emoji3591]kusimamia uboreshaji wa mazingira
[emoji3591]kusimamia vilabu vilivyopo shule mfano scout, takukuru, HIV malihai,nk.
[emoji3591]kusimamia elimu ya jinsia, ushauri nasaha, afya ya akili, nk.
[emoji3591]Kusimamia michezo, utengenezaji wa viwanja vya michezo mbalimbali, miradi ya E/K nk.