ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huyu Jamaa kwa sasa nadhani ndo anatrend nafasi ya kwanza kwenye upande wa macomedy lakini ni wazi hata kwenye maisha ya kawaida ili upende usiboe watu inafaa uwe na nidhamu ya hali ya juu.
Nidhamu itakuletea Michongo ile ya muda mrefu ukiaminika ila ukiwa huna nidhamu utaweza kukubalika ila Kwa muda mrefu baadae watu wanakuchoka unakalishwa.
Ingawa hata bila nidhamu hela utapata kama ulivyozipata nyingine ila watu wanakuwa na wasiwas na wewe muda wote ila nidhamu ya kweli utapendwa muda mrefu.