Mfanya usafi ofisini

Adjuss

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
49
Reaction score
15
Wakuu,
Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital.

Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi.

Mshahara ni 150,000 kwa mwezi.
Kwa anayehitaji naomba ani inbox.
 
1. Je atapewa chakula cha mchana kwa siku atakapokua kazini?
2. Je atapewa pesa ya usafiri tofauti na mshahara?
Samahani mkuu, nimeuliza tu ili kupata ufahamu/kujifunza
 
Bora ungeuliza chai mkuu,
Mtu anatoka kazini satano asubuhi,sioni sababu ya kupata hiyo lunch. Maybe sina uzoefu na haya mambo niwe nimekosea.
 
1. Je atapewa chakula cha mchana kwa siku atakapokua kazini?
2. Je atapewa pesa ya usafiri tofauti na mshahara?
Samahani mkuu, nimeuliza tu ili kupata ufahamu/kujifunza
Breakfast boss lunch saa 5?πŸ˜€
 
1. Je atapewa chakula cha mchana kwa siku atakapokua kazini?
2. Je atapewa pesa ya usafiri tofauti na mshahara?
Samahani mkuu, nimeuliza tu ili kupata ufahamu/kujifunza
Muda wa kazi ni kuanzia saa 1:30 hadi 5:00 asubuhi. Lunch time inakuwa haijafika hivyo hapana. Usafiri pia hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…