Ndugu mtoa taarifa, tafadhali tupatie chanzo sha habari yako. Kwa sababu hii ni serious case.
If at all walitapeliwa, walikuwa na kila uwezo wa kutoa taarifa na uhuni huo kwa vyombo vinavyohusika na kisha akafikishwa mahakamani na hukumu kutolewa kulingana na ushahidi utakaokuwepo.
Kama haya yote hayakuweza kufanyika, ni dhahili kuwa inawezekana ikawa tuhuma hizo ni za uzushi tu, ambao wafanyabiashara wengi (iwe haramu au halali hufanyiana).
Katika kulitazama suala hili, kutazama chanzo cha taarifa na credibility yake ni muhimu sana kabla hatujaanza kuchangia kwa jazba, ushabiki ama hisia binafsi.
Wasalaam.