Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

What goes around comes around, Walizoea miteremko kuwapiga w2 chana la macho.
 
ni kweli waliwatapeli watu hapa dar sasa wakamwekea mtego aende huko kuna biashara nzuri jamaa akaingia mkenge, kwa kifupi ni kuwa jamaa waliwapa mafia kazi na walitaka asiuwawe bali wampe fundisho na ikibidi akomit suicide mwenyewe basi jamaa wakafanya kazi na hayo ndio matokeo...nampa pole kwa kweli
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha taarifa hizi za Muzamir Katunzi kukatwa nyeti uchina.

Logocal conclussion ni kuwa this is all Hoax!!

Tuna mambo mengi tunayoweza kujadili kuliko huu uzushi.
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha taarifa hizi za Muzamir Katunzi kukatwa nyeti uchina.

Logocal conclussion ni kuwa this is all Hoax!!

Tuna mambo mengi tunayoweza kujadili kuliko huu uzushi.

Acha hizo unataka nani ukuthibitishie, au wewe mwenzetu unao ushahidi kuwa bado anazo hizo nyeti?ulete hapa barazani otherwise waache watu wajadili na wewe nenda huko mnapojadili vitu kwa uthibitisho tuachie uzuzushi wetu wenyewe tumeupenda.
 

Mzee pamoja na kujifanya una maadili lakini haukuzingatia kuwa upande wa pili pia una haki zake, unafikiri huyo mke wa Mzamir hana haki ya kufurahia ngono kisa mumewe kakatwa nyeti zake na watu aliowazulumu? Kama kweli unazingatia na upande wa pili utaona mkewe ana kila sababu za kuendelea kufurahia ngono na wala mwili wake hauwezi kuacha kuhemuka kisa mumewe hana nyeti, jambo la busara ni kwa mume wake kutafuta njia ya kuhakikisha mkewe anafurahia ngono huku heshima yake kama mume ikiendelea kulindwa au kama ni muislam mkewe anaweza kutarikiwa ili aendelee na maisha yake badala ya kuendelea kusononeka kila siku.
Pia inakupasa kujua kuwa kila mti ameguswa na tukio hili kwa jinsi yake kama wewe unadhani ni wakati wa simanzi wengine wakio kuwa wakichukuliwa wake zao, wakinyanyasiwa dada zao na hata kulawitiwa wadogo zao taarifa hizi ni njema kwani wanadhani haki imetendeka hatimaye.Ninaelewa simanzi yako lakini pia naamini na wewe unatakiwa kuelewa hisia za watu wengine.
 
Nimejaribu kuzungumza kwa simu na ndugu pamoja na jamaa kadhaa wa Katunzi (Benedict, Matungwa and a few others), wote wanashangazwa kusikia uzushi huu.

Again and again, tunaomba kuthibitishwa kwa taarifa hizi.
 
hawa si ndio wale mapedejee wanaowaliza wageni copper na almasi feki ,,..du!!...kweli you can not loot from mafia and enjoy the loot....ukiwatapeli mafia watahakikisha pesa yako haikunufaishi wewe wala kizazi chako.....

nadhani ingekuwa mimi muzamil ningeenda NGWASUMA nikatoa uume hadharani ...ili kuwahakikishia wadau kuwa bado dume.....lol..
 
wengine walio kuwa wakichukuliwa wake zao, wakinyanyasiwa dada zao na hata kulawitiwa wadogo zao taarifa hizi ni njema kwani wanadhani haki imetendeka hatimaye..


Katika akili ya binadamu wa kawaida sidhani kuwa wote waliofanyiwa vitendo hivi hawakushirikisha uamuzi, hisia na matakwa yao binafsi. Vinginevyo tayari kungekuwa na kesi lukuki za ubakaji juu ya jamaa.

Ninaloweza kuliona hapa, kama kweli wamewahi kufanyiwa hivyo na mtu yeyote yule, hayo ni matokeo ya uamuzi wao binafsi, iwe kwa kukidhi tamaa zao za kifedha au za kimwili.

Kisha ningependa kuwalaumu wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine wamejua kuwa wake zao, dada zao au wadogo zao wametumika visivyo halali, kisha wakabaki kumlaumu aliyewafanyia hivyo badala ya wao binafsi ambao waliamua kujitoa kiroho na kimwili katika hilo.

Natumaini umenipata mkuu.
 
Nimejaribu kuzungumza kwa simu na ndugu pamoja na jamaa kadhaa wa Katunzi (Benedict, Matungwa and a few others), wote wanashangazwa kusikia uzushi huu.

Again and again, tunaomba kuthibitishwa kwa taarifa hizi.

Toka mwanzo nimekuona kuwa unaumizwa sana na huyu bwana mdogo, kama amepona mwambie CHUNGA SANA lisemwalo lipo akiendelea na uTAPELI wake yatamkuta hayo......
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha taarifa hizi za Muzamir Katunzi kukatwa nyeti uchina.

Logocal conclussion ni kuwa this is all Hoax!!

Tuna mambo mengi tunayoweza kujadili kuliko huu uzushi.

Mkuu Bazobonankira,
Hebu soma neno linalotangulia kichwa cha habari.

Kuna neno 'TETESI' then kinafuata kichwa cha habari.

Kwa hiyo basi habari hii itaendelea kujadiliwa hadi pale itakapokuja habari mbadala au yenye kuthibitisha vinginevyo.

Kwahiyo hata kama utasema kuwa umeongea na ndugu zake haitoshi kwani hakuna uthibitisho wa hiyo source of information, itaendelea kubaki kuwa ni tetesi tu.

Wacha wachangiaji waendelee na tetesi.
 
wapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!

wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
 

Mh, BUrn....

Inaonekana una mambo mazito sana kuhusu huyu jamaa...
 

You do not know the rule of the GAME, uliyoyasema hapo ni kashfa kwa wanamuziki, wao kama wanamuzik wanaangalia maslahi (PESA) na wewe ukitaka uzumbukuku wa kupaishwa hewani leta hela zako tunapokea tunakupaisha then watoto wetu wanakiona choo, watanzania punguzeni kashfa na wivu......
 
Mh, BUrn....

Inaonekana una mambo mazito sana kuhusu huyu jamaa...

Hata mie ningependa niwajue hao "wake zetu, dada zetu na wadogo zetu" walioonjeshwa mahanjumati na Muzamil.

Sinashaka "hawakufulia, tena bila sabuni"

Lol!!
 


ndio maana kwenye gari yangu au nyumbani sipigi nyimbo za ngwasumaa,akudo au T respect....AND the like ..simejaa majina ya criminals ..tu...i chose that...!!.... napendelea za nyumani classic za zamani za sikinde,[enzi ya kingi enoki],juwata,matimila and remmy ongala,marquee jazz,Ochestra safari sound , etc ......unakula muziki tu hadi mwisho...sio kusikiliza majina ya matapeli na vinyozi wimbo mzima....
 
tatizo au raha ya wenzetu ni wazuri kwenye surgery.wanaweza chkua mashine ya mtu aliyekufa wakapachika au wakampa ya plastiki
 
Muzammil Katunzi a.k.a Young Millionare ni kijana ambaye kwa muda hapa jijini amekuwa akitajwa kukumbwa na dhahama hii.Mjini anaonekana vizuri akiendesha magari yake ya kifahari na haonyeshi wasi wasi.Ushauri wangu kwa kuwa hii rumour ime persist kwa muda sasa (zaidi ya miezi 6) hadi kuingia jamvi tukufu la JF ni bora naye kama mfanyabiashara anaye interact na watu mbali mbali akafanya utaratibu wa ku dispel hii rumour ili wale anaofanya nao biashara wakikutana badala ya ku concentrate kwenye deal wasiishie kumtupia tupia jicho chini chini kwenye serewale.Na huyo mdau hapo juu aliyesema kaongea na ndugu zake kina Benedict na Matungwa seems anamjua Muzammil vizuri na kama ni hivyo amegwaya nini kumuuliza Muzammil mwenyewe?
 
Mi nampa pole sana na kama kweli alitapeli alistahili adhabu ila aliyopewa ni kali na sijui waliamua kuichagua hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…