Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

Kama hapa duniani kuna watu wakatili Wachina ni wamoja wao. Mnaofanya biashara nao au hata mnaoenda kuchukua mali huko kwa muwe waangalifu sana hawa jamaa ni watu wabaya sana.
__________________

MKUU INABIDI CEO WA ATCL AKUPE SEMINA UWAFUNDISHE WAFANYAKZI WAKE JINSI YA KUJILINDA MAANA WACHINA NDIO WANAMALIZIA KUCHUKUA SHIRIKA LAO NA MAMLAKA YA TAA
INABIDI KUWE NA CHUMA INAYOZIBA KILA SEHEMU ZA MIHIMILI
 
Hii adhabu barabara kabisa! hawa mpedejee wamewaingiza sana mitini hawa watasha kwa muda mrefu kwa kushirikiana na watumishi pale DIA(sasa JKN)bado wamebaki akina msofe na wengine,ole wao! mafisadi wanastahili adhabu kali zaidi ya hii kwa kusababisha mateso na umasikini kwa watanzania
 
Ninamsikitikia mkewe Getrude kwani ni mtoto mdogo sana na jamaa gemu ndio imekwisha, ngoja nimuulize kama na weza kumsaidia kitu chochote.


UMSAIDIE NINI WACHA NAE WAMCHAPIE MKE WAKE KAMA ALIVYOCHAPA WAKE ZA WENGINE. RUSHA PICHA YA MKEWE KAMA ANALIPA TUANZE KUFANYA VUITUUZ. sTAREHE MBONA BADO ATAPATA AGEUKE NAYE AUNT MZAMIL

LIWE SOMO KWA WAHARIBIFU WOOOOTE NCHINI!
 
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha taarifa hizi za Muzamir Katunzi kukatwa nyeti uchina.

Logocal conclussion ni kuwa this is all Hoax!!

Tuna mambo mengi tunayoweza kujadili kuliko huu uzushi.

Kama unaona ni uzushi don't open the thread, fungua zile tu unazojua zimethibitishwa
 
weeee nawe tuondoleeee upuuuzi wako hapoa kama ndio na wewe unakaa mjini kwa kumtegemea muzamil kivyakooooo , nenda ukamuuulize face to face uone atavyojibu macho chini sasa kama wewe unafadhiliwa nae sio sisi na kama unaona hatuna ushahidi nenda kampige picha nyeti zake ubandike hapa tuzione usijipige mwenyewe tu ........ kama bwana wakooooo ndio ukanunueee vibrator tena avae akuridhishe ..... mijitu mingine bwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ovyooooooooooooooooooooooooooo
 
Mzamil Kapigwa chini na mkewe baada ya kuona performance hakuna. Ameoa kademu kengine ka vodacom kanaitwa jasmin kachangu tu washikaji wanakachapa hadi leo nasikia anataka kukaachisha kazi.

Acha akome utapeli. Huo ndio mshahara wake.
UMSAIDIE NINI WACHA NAE WAMCHAPIE MKE WAKE KAMA ALIVYOCHAPA WAKE ZA WENGINE. RUSHA PICHA YA MKEWE KAMA ANALIPA TUANZE KUFANYA VUITUUZ. sTAREHE MBONA BADO ATAPATA AGEUKE NAYE AUNT MZAMIL

LIWE SOMO KWA WAHARIBIFU WOOOOTE NCHINI!
 
Kama watu wanafikiria utani wakamuulize mkewake getrude, maada sasahivi amekuwa bi mdogo wa masha hayupo kwa mzamil tena.

Bado yule muhindi anaefanya kazi na mzamil huyo ndie wanted china kiko mzamil
 
Hehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!

Do you mean The Young Millionnaire - Mzamir Katunzi?
 
Ha ha! Huyu jamaa nnamsikiaga., hawa si ndio wanajiita mapedeshee wa mjini..bado papa msofe sasa..naye akaliwe kiboga uko uchina.
 
Mzamil Kapigwa chini na mkewe baada ya kuona performance hakuna. Ameoa kademu kengine ka vodacom kanaitwa jasmin kachangu tu washikaji wanakachapa hadi leo nasikia anataka kukaachisha kazi.

Acha akome utapeli. Huo ndio mshahara wake.

Duuuuuu kumbe ameoa kale ka jasmin uwiiiiiiiiiiiii jamaa yangu mmoja wa voda alishakulaaaa na kusaza miaka ya 2004 duh kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu mbofu mbofu
 
Unajua Muzamil kakinunua kituo cha police oyster bay, wzungu wengi akiwapiga police wanawazuga kuwa hawa watu hawajulikani. Sasa uhasama umeanza kuonekana kwa watanzania wanaokwenda china, tunaonekana wezi tu. Zamani tulikuwa tunaongezwa mzigo halafu tunalipa baadaye. Hivi viongozi wa nchi hii watakinyamazia kituo cha ostabey mpaka lini? Au mnataka watu wauwawe kama wale wafanyabiashara wa madini?? Sasa hivi police na makampuni ya ulinzi wanalinda viwanja vya mzamil na msofe.
 
Ndio kaoa jusmin,
Yano haelewi wala hasikii. Sasa sijui analalaje nako na wakati hana mashine?? Au kako after money..!!!



Duuuuuu kumbe ameoa kale ka jasmin uwiiiiiiiiiiiii jamaa yangu mmoja wa voda alishakulaaaa na kusaza miaka ya 2004 duh kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu mbofu mbofu
 
Hey Kasri, I think he is the one. Mzamir Katunzi, mdogo wao wale mapacha wa kihaya, Kato na Kakulu
 
Huu ni zaidi ya unyama.

Utamu wote umeondolewa!
 
dah mshkaji kama wamemfanya kweli basi tena sijui atafukia wapi hiyo sura aibu.
kwa msofe msiseme bado yeye papaa msofe naskia alishatendwa siku nyiiiingi kabla hata hajamfundisha utapeli mzamir,tatizo hakumwambia mzamir ukweli juu ya madhara yanayoweza kumkuta kama yaliyomkuta yeye enzi hizo.
 
Pole Papaa Mzamir, kama ni kweli basi chukulia kuwa ni mtihani wa maisha na kama ni uzushi pia ni mtihani, iweje uzushiwe kitu bila shaka lisemwalo lipo. Rudini kwenye biashara halali, mambo ya utapeli yatawafikisha pabaya, hasa dunia tuliyopo na tuelekeako ambapo uwazi ndio dira na ukweli ndo dhamira. Hivi mnategemea watu wawatazame vipi kwa kugawa pesa kwenye shoo ilhali wenye shida wapo na hawapati hiyo misaada yenu? Jiangalieni, umaarufu gharama yake ni kubwa. Muulizeni Pedeshee Omari Kalinga ndo babaenu aliaga umasikini, nyie mnabeep tuu, ila siku Mungu akiwapigia mtakiona cha moto
Ahsante mutu ya watu
 
Ndio kaoa jusmin,
Yano haelewi wala hasikii. Sasa sijui analalaje nako na wakati hana mashine?? Au kako after money..!!!

aaah kale nako ni ka gold digger katakuwa kanabaluzwa nje huko halafu gharama za huyo mjinga mjinga aliyeweka ndani hako ka famba
 

aha ha ha ha aha ha ha....nacheka lakini naumia wakuu,sasa mke wake amemwambiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…