Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina


Ha haaa we ndo umemaliza kabisaaa manaake mtu kamaindii cjui ndo aliemleta town. Hayo ni malipo ya uzulumaji, jamaa wapigaji kishenzi, jasho la watu halipoteagi bure. Na mi niliskia hiyo issue jana naskia analia tu.
 
Duuuuuu kumbe ameoa kale ka jasmin uwiiiiiiiiiiiii jamaa yangu mmoja wa voda alishakulaaaa na kusaza miaka ya 2004 duh kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu mbofu mbofu

wamesha achana na hako ka jasmin juzijuzi kamesharudi kwao.
 

aha ha ha ha aha ha ha....nacheka lakini naumia wakuu,sasa mke wake amemwambiaje?

Amwambieje mkewe sasa, mkewe atakua kajumlisha na kutoa akapata jibu. Ukiolewa na jambazi lazima utakua unajua ni jambazi.
 
Duuuuuu kumbe ameoa kale ka jasmin uwiiiiiiiiiiiii jamaa yangu mmoja wa voda alishakulaaaa na kusaza miaka ya 2004 duh kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu mbofu mbofu

Nani alikwambia ile kitu ina makombo? Kama jamaa yako alikula mwaka 2004, ulitaka asiliwe tena? Acha watu wale leo na hata kesho. Kikubwa wale kwa kujihadhali.
 
mhh mazito haya....huyo jasmin alikuwa anaishije jamani
 
Sasa sijui Muzamil na masha urafikiwao umeishia wapi?
Nataka watu wafahamu ili kuingiza pesa nyingi kama msofe na mzamil wanazowapiga wazungu lazima waziri wa mambo ya ndani ya nchi atambue na aandikiwe barua na mfanyabiashara ya kuomba kuingiza fedha za kigeni zenye idadi kubwa na yeye huwaprove kwa manager wa bank ili wachukue hela hizo.

Mfano mwakajana mzalil katunzi na kampuni yake ya oceanlink iliuza fake copper cathode kwa wachina yenye thamani za usd 5ml. Ningependa watu wajue pesa hizi zinachukuliwa cash wakati mzigo upo Baharini, maana kilichomo ndani ya contena ni viroba vya mchanga.

Kwa namna hii lazima Laurence alikuwa mshirika wa karibu wa jamaa hawa. Sasa fikiria leo jamaa ana mchukua getrude X wife wa rafikiyake.
 
Mbona hiyo siku nyingi sana....nadhani toka January mambo yalikuwa yashaharibika.
 

Punch

Ninachokijua mimi ni kwamba kuna wafanyabiashara wa Ugiriki aliwafanyia utapeli yeye na Papa Msofe. Wakamtuma mtu aje afanye dili, na ili kukamilisha, wakamlipia tiketi ya kwenda kule Ugiriki, kumbe ulikuwa mtego. Kufika kule wakamlewesha kwa pombe na starehe za vimwana, akajiona, YES! MI KIDUME! Kumbe alipolala tu, walimdunga sindano, ikawa ndio mwisho wa uume wake kufanya kazi!

Sasa hili la kuunyofoa kabisa ni jipya. Lakini linawezekana! Lisemwalo lipo! Kama halipo, LAJA!
 
Utamu wote umekatwa. What next!!
 
Kale kasingeweza kukaa na mwanaume suruali possibly.

Mamushka nasikia walikorofishana Jasmine kwa sababu ya kademu kamoja ka secretary ka muzamil ambako amekageuza mke tena.

Habari zilizo tufikia hivi punnde kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika kwa jamaa wa karibu wa Muzamil, nikwamba muzamil katunzi kamuoa mfanyakazi wake wa ofisini na ndoa hiyo imefungwa kisirisiri na sasa hivi demu huyo anakaa beach street maeneo. Demu huyo anaitwa Latifa Abubakari kademu hako kalikuwa kanaishi kimara, napia kademu hako kanadate na yule George wa crdb bank mapaka sasa kwasababu jamaa hana power ila money,
 
Mzamir na rafiki zake- akina Papaa Msofe wako above the law, wanafanya uharifu kila siku na ukifanyiwa ukawataarif polis utaambiwa mtandao wao ni mrefu hawawezekaniki, kila siku wanawaliza watu kwa madini fake, wizi wa viwanja na kuuza viwanja hewa, hawakamatiki. Kama ni kweli alichopata ndo stahiki yake. Ila mtia mada atupe sosi.
 
Ushahidi upi jamani watu mnataka?
Juzi muzamil alitapeli kiwanja cha mama rwakatare, anaviwanja viwili mbezi beach alivivamia na mpaka sasa ni mali yake.

Au wataka ushahidi wa kukatwa nyeti??

Kuhusu ushahidi ni kweli mtu kuleta mada na awe na ushahidi ili watu wachangie kwenye ushahidi. Lakini pia dhumuni la forum ni mtu akileta mada kama kuna mtu kaonewa analala mika je muzamil na mfsofe si wapo humu, naomba muzamil akanushe kama hakutapeli kiwanja chetu cha kanisa mikocheni b assemblies of God??

Kama atabisha tutaleta ushahidi hapa na document zote. Na swala hili halijaisha tutahakikisha mtandao wenu unaoogopwa na police inobakia historia ndani ya Tanzania. Najua muzamili wewe ni mafia kama isingekuwa Mama tibaijuka usinge turudishia kiwanja chetu. Kiwanja hiki kilinunuliwa kwa pesa za zaka za wakrito pesa za maombi ya baraka kwa Mungu usipo tubu mwaka huu utakuwa wa historia kwenye maisha yako na lazima tukuanike wazi mataifa yote ili utapeli wako usifanikiwe tena huwezi kushindana na kazi ya Mungu, Nguvu ya utapeli wa viwanja ishindwe kwa jina la Yesu, na maofisa wote wa wizara ya ardhi washindwe na polisi wote wa kawe na oysterbay washindwe.

Msipo tubu mtaangamia
 
aaah kale nako ni ka gold digger katakuwa kanabaluzwa nje huko halafu gharama za huyo mjinga mjinga aliyeweka ndani hako ka famba
Haka katoto usalama mdogo sana kalianza na muangola yule malaya nelson, hapo voda kwenyewe kalilala na vijana wengi, yule checkbob wa barclays sasa mzee muzasha ndio anazuia imekula kwake. Lakini mixed race wengi wanakuwa machakalamu kama haka kajsmeen.
 
Walichowafanyia wale mamiss pale bagamoyo wakina
wema sepetu;ezekiel;upendo msami;mmmh wangeanza tu na makalio wayakate yote...akalie mifupa
wachafu waribifu sana kama unawajua vyema hata kuwasogelea ni najisi
Waliwafanyia kitu gani hao mamiss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…