Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

Angekuwa mwanaume anayeheshimu ndoa yake na mimi ningekuunga mkono.

Lakini kama ni wale wanabadili wanawake kama nguo; haya ni malipo yake ya duniani.

Hakuna cha kumhurumia; wife ampige chini tu.

 

..sidhani kama upo sawa kichwani la sivyo utakuwa mpambe wa pedejee Mzamir!..kama unaamini haya uliyoandika basi huwezi mtetea Mzamir kwa sababu hata yeye alivyokuwa ana dhulumu si alikuwa ana timiza matakwa yake ya kifedha sasa ameadhibiwa wewe una walaumu vipi waliomfanyia? Na wewe mlaumu yeye aliyeyataka basi!!! acha upambe nuksi!
 
Inaweza ikawa kweli au ni uzushi! Bongo kutengenezewa story au skendo ni kitu cha kawaida! Ukweli anaujua yeye na mkewe!
 
juzi kaoa mke wa kiarabu na kamtandika mimba sasa inakuaje au karudishiwa?
 
"Binadamu wakiona una mafanikio watakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mie najua umetoka mbali sana king kong ni siri yako sio wote watakupenda,TENDA MEMA USINGOJE SHUKRANI CHEKA NA WATU WOTE MUZAMIL KATUNZI"
 

Pamoja na kwamba hujaweka source lakini navyojua kukatwa uume China ipo sana especially kwa wale wafanyabiashara wanaodhulumu wenzao.Kuna wafanyabiashara wakubwa sana ambao hawajulikani majina Yao kwenye jamii wameshatendwa sana namna hiyo na usalama wa taifa au balozi zetu hazisemi.Kuna mfanyabiashara mmoja wa kitapeli mhaya simtaji jina ila yeye alidhulumu na kutapeli watu wengi sana kuna kipindi alitapeli Wachina containers of copper.Wachina wakampeleka kwenye vyombo vyetu vya sheria bila mafanikio yeyote.Siku moja akasafiri kwenda china aliwekewa mtego hivyo hivyo Wachina wakaenda kumkata uume akiwa hotelini.Dhuluma,utapeli ni mbaya sana na ukijua umefanya hivyo nakushauri husikanyage China.Yani mitego yao wanakufuatilia tangu unaenda airport,unapita immigration mpaka unafika airport ya wachina na kucheck immigration finally mpaka hotel unayokwenda.
 
hivi watu waliofanya unyma huu tunawatifautisha vipi na alshababi
 
Napita tu sipati picha kifanyio changu kikipuchuliwa mamaweee ntaliaje? Yaani ze utamu sasa baasi uuuuuwiii yasikie tu kwa mwenzio
 
Lyke...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…