Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

Pole yake awe makini
Kuna yule mtoto wa Rais mstaafu japokuwa hakuwa makini lakini mtesi wake kakamatwa na kuchezea mvua saba.. Walituletea mfumo madhubuti wa kusajili namba za simu kwa kutumia NIDA ili shida kama hizi zisiwepo lakini kampuni za simu wameweka mawakala uchwara wanasajili wanavyoweza..
 
Matapeli ni wengi na wemejificha kujitangangaza katika social media Insta, Fb n.k ukinunua vitu humo pay on-delivery waniletee kabisa ninachotaka labda
 
Wafanyabiashara wengi ni madhulumati hivyo hata wao kupigwa ni kawaida tu sema ndiyo hivyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,avumilie tu laki nne ni hela ndogo sana.
 
Utapeli ni mwingi sana, Serikali inachangia sana kwa kuwa hawashuhuliki kabisa
 
Back
Top Bottom