nyamadoke75
Member
- Apr 1, 2020
- 93
- 288
Kuna yule mtoto wa Rais mstaafu japokuwa hakuwa makini lakini mtesi wake kakamatwa na kuchezea mvua saba.. Walituletea mfumo madhubuti wa kusajili namba za simu kwa kutumia NIDA ili shida kama hizi zisiwepo lakini kampuni za simu wameweka mawakala uchwara wanasajili wanavyoweza..Pole yake awe makini
Matapeli ni wengi na wemejificha kujitangangaza katika social media Insta, Fb n.k ukinunua vitu humo pay on-delivery waniletee kabisa ninachotaka labdaKuna yule mtoto wa Rais mstaafu japokuwa hakuwa makini lakini mtesi wake kakamatwa na kuchezea mvua saba.. Walituletea mfumo madhubuti wa kusajili namba za simu kwa kutumia NIDA ili shida kama hizi zisiwepo lakini kampuni za simu wameweka mawakala uchwara wanasajili wanavyoweza..
Kumbe hizi baiskeli zina bei hivi?
View: https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz
Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata baiskeli na matokeo yake amekosa na fedha na baiskeli.
Mtanzania kumtapeli ni rahisi sana.Wafanyabiashara wengi ni madhulumati hivyo hata wao kupigwa ni kawaida tu sema ndiyo hivyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,avumilie tu laki nne ni hela ndogo sana.