Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi.
Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia.
Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?.
Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke
Ikiwa hizo ni Athari za muda mfupi, nani amewaza kuhusu Athari za muda mrefu Kwa Hawa jamaa zetu?.
Maajabu utashangaa Mfanyabiashara huyo, atatoa Kitu, alafu hiyo Report Sasa itakavyotoka ? Unaishia kushika Kichwa.
Swala linazimwa kimya kimyaaa, nyinyi mloathirika, mtajijua wenyewe .
Tafadhali sana narudia, tunachokiona ni Athari za Nje na za Muda mfupi.
Afya ya Raia, ni sehem ya Usalama wa Nchi .
Usalama wa Taifa wanao Wajibu mkubwa 100% katika kulinda Afya ya Mtanzania , usijikite kwenye Siasa tu.
TBS mnaowajibu mkubwa sana
TAKUKURU , Rushwa inaweza kupelekea upotevu mkubwa wa Haki za Hawa wahanga .
Ifikie Mahali Nchi iongozwe Kwa Uzalendo na Kila Mmoja aiwajibikie Nchi yetu.
Suala hili Serikali isilichukulie Kichawachawa .
Haya ni Maisha ya watu.