Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kakamatwa kama mwanaharakati ! Ni kosa kisheria?Kama wamejitambulisha basi huyo kakamatwa na siyo kutekwa msikimbilie kuanzisha Uzi Jamii Forums kabla taarifa rasmi haijatoka mnaleta taharuki Genuine Criminals mnataka wasikamatwe?
Mpuuuuzi wewe peleka ujinga wako huko!Hawa watu wa vijijni wao wanajua kukamatwa ni mpaka mwenyekiti wa kijiji aje na sungusungu, huko vijijini hakuna vituo vya polisi, kwa hiyo wameingia mjini wanashangaa polisi ndio kitu gani, wanaona mtu akikamatwa na polisi basi ametekwa
Himo ina kituo cha police usihisi ni bush kama utokakoHawa watu wa vijijni wao wanajua kukamatwa ni mpaka mwenyekiti wa kijiji aje na sungusungu, huko vijijini hakuna vituo vya polisi, kwa hiyo wameingia mjini wanashangaa polisi ndio kitu gani, wanaona mtu akikamatwa na polisi basi ametekwa
Lengo la watekaji ni kutisha na kutia hofu watu, hivyo wanahakikisha taarifa za watu kutekwa zinasambaa kwa haraka na kwa watu wengi.Utekaji...... Hali imezidi kuwa mbayaa. Kama nchi inaelekea wapi jamani?
===========
Kutoka kwenye ukurasa wa Maria Sarungi amechapisha taarifa ikidai kuwa Mfanyabiashara Christopher Kirama Temu ametekwa Himo akiwa msibani na watu waliodai ni polisi wakiwa kwenye Land Cruiser na walidai wanampeleka DarWalipoulizwa wanamtuhumu wakajibu eti ni mwanaharakati!
Uanaharakati si kosa la kisheria nyie Polisi Mwachieni baba wa watu acheni kutisha watu na huu upumbavu wenu!
Soma Pia: Mara: Mfanyabiashara adaiwa kutoweka baada ya kuchukuliwa na watu waliojitambulisha kama "Usalama Wa Taifa". Mkewe azungumza kilichotokea!
Siongelei himo, naongelea washamba mnaomeza kila taarifa mitandaoniHimo ina kituo cha police usihisi ni bush kama utokako
Akili zilizochanganyika na mavi hiziKama wamejitambulisha basi huyo kakamatwa na siyo kutekwa msikimbilie kuanzisha Uzi Jamii Forums kabla taarifa rasmi haijatoka mnaleta taharuki Genuine Criminals mnataka wasikamatwe?
Vyombo vya ulinzi na usalama haviaminiki!Ni wangapi wamepotezwa kwa style hiyo hiyo?Bora tuendelee kupaza hizi kelele walau Kuna chance ya kuokoa uhai!Ni wajibu wa Kila mtanzania kupaza sauti juu ya Hawa Watekaji walioamua kujichukulia Sheria mikononi!Siongelei himo, naongelea washamba mnaomeza kila taarifa mitandaoni
Mtu kafuatwa na polisi na wamejitambilisha kuwa ni polisi lakini bado mnadai katekwa
Hivi hamjui kuwa kuna CID na hawavai kipolisi na wana uwezo kukamata wahalifu
Huu ujinga wa kila anaekamatwa ametekwa sasa imekuwa hata wahalifu wakikamatwa stori ni zile zile za katekwa
Samuya katuharibia sana nchi, sasa hataki akosolewe wakati uwezo hana?!?!.Kama wamejitambulisha basi huyo kakamatwa na siyo kutekwa msikimbilie kuanzisha Uzi Jamii Forums kabla taarifa rasmi haijatoka mnaleta taharuki Genuine Criminals mnataka wasikamatwe?
Samuya katuharibia sana nchi, sasa hataki akosolewe wakati uwezo hana?!?!.
Katiba yetu ni takataka kumpa mamlaka/power hata mtu ambaye ni incompitent!.