Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Ameendelea, "Kuna kodi mpya ya Stoo ambayo inaelekeza ukikutwa na kosa unapigwa faini ya Tsh. Milioni 4. Kodi hiyo inatengeneza mazingira ya #Rushwa na hatujui kama ipo kihalali au la.
Ameongeza, "Mfanyabiashara hauwezi kukamatwa kwa Mwezi mara tatu, inabidi mzungumze pembeni".