ormystatus
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 111
- 223
mbona amesimama kama anapigwa picha ya pasport size au ni uoga.?
Mbona hakajavaa kanga ?mbona amesimama kama anapigwa picha ya pasport size au ni uoga.?
Sasa kama Amekwenda kote uko kushangaa vikombe Si bora angekwenda klabu ya Yanga kusha ngaa vikombe? Pale Angeviona vikombe lukuki vya Tanzania bara, Muungano, Ngao za jamii, Afrika Mashariki n.k Historia iliyo tukuka angeikuta pale Jangwani. Angeikuta historia ya Pele na Santos kukaribishwa Jangwani.View attachment 1256005
=====
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal anayoishabikia ikiwa haifanyi vizuri.
Hii sio mara ya kwanza kwa MO Dewji kutembelea vilabu vikubwa vya soka Ulaya, aliwahi kuitembelea club ya Juventus na kuweka wazi kuwa mpango wake ni kujenga mahusiano kati ya Simba SC na Juventus ambayo yataweza kusaidia kukuza soka letu.
Pale kuna vokombe au vibakuli vya kuchotea maji kwenye mafuriko, halafu pale hukosi virobotoSasa kama Amekwenda kote uko kushangaa vikombe Si bora angekwenda klabu ya Yanga kusha ngaa vikombe? Pale Angeviona vikombe lukuki vya Tanzania bara, Muungano, Ngao za jamii, Afrika Mashariki n.k Historia iliyo tukuka angeikuta pale Jangwani. Angeikuta historia ya Pele na Santos kukaribishwa Jangwani.