Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aitumie nini??Sio sawa kutumia risasi
Hao ni wahuni na ni wezi wakiachwa hivihivi si sawa.wapigwe tu risasi.ni waporaji na ni vibakaSio sawa kutumia risasi
Hujaona maeneo mengine wahuni walikua wanaingia kuiba kwenye maduka ya watu,,,,humo wanachanganyika waandamanaji wa kweli na weziSio sawa kutumia risasi
Wacha wauawe wahuni haoSio sawa kutumia risasi
angempiga hata mmoja kwa bahati mbaya alikuwa anakufa kifo kibaya sanaJamaa alikuwa ana beep kifo
asingethubutu hata kidogo maana angekufa kwa maumivu makubwaSafi sana, vijana wamechoka kuandamana sasa hivi wanavunja maduka ya watu. Angeua hata watano ili wapate akili
Hao ni vibaka na wahuni wanajaribu kutumia mwanya wa maandamano kuporaSio sawa kutumia risasi