Kwa hiyo waharibu mali zake? Hiyo silaha si anaimiliki kwa ajili ya kulinda mali zake? Ulitaka aitumie wakati gani?Sio sawa kutumia risasi
Kama mna ugomvi na serikali pambaneni na serikali siyo kupora mali za watu walizozihangaikia kwa jasho lao, huyo jamaa akiwaleta mashababi watatu wenye ak47, wanaweza kufanya kama walichokifanya westgate.
The moment a Mombasa businessman fired at protesters to keep them away from his premises. Several people were injured and rushed to hospital
Sio sawa kivipi?!Sio sawa kutumia risasi
Hao ni Wezi.Hao ni vibaka na wahuni wanajaribu kutumia mwanya wa maandamano kupora
Hana shabaha huyo ingelikuwa ni mimi kwa Head Shots tena kwa mkono mmoja tu.pamoja na kufyatua risasi lakini bado washkaji wanammendea.
Kesi ya mauaji ingekuhusu......jamaa yupo makini kwenye hiloHana shabaha huyo ingelikuwa ni mimi kwa Head Shots tena kwa mkono mmoja tu.
Self Defence Wakili wangu angeshughulika nayo.Kesi ya mauaji ingekuhusu......jamaa yupo makini kwenye hilo
wewe kiasili ni askari uwezi kukosa vichwa angalau vitatu.Hana shabaha huyo ingelikuwa ni mimi kwa Head Shots tena kwa mkono mmoja tu.