Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Kila ubaya una 40 yake. ..MAMA TANZANIA AMKA!
 

Hivi post hii ya mwaka 2012 kweli nchi hii hakuna Usalama wa Taifa? Hivi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam anathubutu leo wazi kushirikiana na watu / kampuni yenye rekodi ya kutisha hivi?
Rais Magufuli tokea Hone Shopping Center mpaka sasa tuna GSM foundation mbona huwashughulikii hawa?? Hiyo ya bandarini unaona taarifa zilikuwepo je hizi zingine?
Tunaendelea kuangalia.
 
Kumshughulikia huyu jamaa kunahitaji moyo wa chuma, maana kawashika viongozi wote wa juu na mkoa wa Dar es salaam. Jamaa anajifanya kutoa misaada mbalimbali, kajenga jengo la kujifungulia kinamama pale hospitali ya Kijitonyama. Anafadhili kampeni mbali mbali za Makonda katika kuliweka jiji katika hali nzuri. Sasa najiuliza tu nani wa kumkamata?
 
Hivi huyu mtu si ni yule aliyekuwa anafanya biashara ya mabasi ya Scandinavia Express? akishirikiana na baadhi ya wakuu kwenye serikali awamu ile au nimechanganya.
Wa Scandinavia si ni mzaliwa wa Iringa mtaa wa Makorongoni kweli? Though ana asili ya kiarabu arabu hivi.

Anyway, mtajwa hapo ju pamoja na mi scandal yoote hiyo bado sitashangaa nikisikia nae ni Alhaji! Dunia ina mambo hi, basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…