Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Sometime akili yangu inaniambia huenda hii ikawa ni vita ya magenge ya madawa ya kulevya kama ilivyo kwa Sinoloa na Los Zetas, sema huku hawauwani tu. Tunaimbiwa majina yanayotajwa yametoka kwa wananchi, mbona hao wananchi wanataja na majina mengine na hao wanaotajwa hawaitwi kuhojiwa? tumeambiwa kuitwa kuhojiwa haimanishi unashiriki katika madawa ya kuevya, basi na hawa wanaotajwa humu nao waitwe kuhojiwa ikiwa ni pamoja na Madereva ambaye yuko karibu sana na hao wanaotuhumiwa (GSM). Bila kufuata haki hili swala litageuka chuki badala ya kusaidia jamii.
 
Makonda kaingizwa mkenge na ma drug dealers kundi moja limeamua kumtumia kama serikali kupambana na kundi lingine, na kama hajaingizwa basi na yeye ni mmoja wao, so anatumia cheo alichopewa kupambana na kundi hasimu, make siku zote makundi haya huwa hayataki kundi lingine liwapiku kibiashara, ama wanataka wateke soko wenyewe, tusubiri tuone.
 
Huyo si ndo inasemekana ni mfadhiri wa dogo mpya na wa zamani? Ndo maana wanachafuliwa akina cdm? Sasa picha nineipata. Ndiyo sababu ulimi ulikuwa usitetereke kumtaja bishop na kamanda mkuu. Dogo one and two mjitokeze kuhusu jambo hili
 
Huyu si ndo alifadhili mabango ya mgombea wa chama mwaka 2015 nchi nzima? Kuna vita kweli hapo? Hebu come out and tell us the truth Mr katibu wa uenezi wa zamani na wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…