Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Ndo makaburi ayo ambayo ayawezi fukuliwa hataree
 
Reactions: SDG
Ndugu yangu ukiona mtu anamali ujue kapita mapito mengi, hao anaowafanyizia hebu pata muda ujue walimdhulumu nini huyo baba wa watu.

Chamsingi nawewe tafuta vyako utunze familia yako na mkeo hao ya wengine waachie wenyewe.
 
Haya umesikika
Ni moja ktk ajira zilizobaki (Mkosaji
 
Reactions: SDG
Kikwete alimlea sana huyu mtu kisa ni mbia wa marafiki zake Wakina Rostam ambao ndiyo wapiga dili wakubwa Jpm tenda kazi kwa huyu mtu ni kipolo kilichobaki kwenye kazi yako.
 
Reactions: SDG
Huyo jamaa alikuwa anafunga mitaa/barabara pale kariakoo na hakuna anaemgusa.
 
Reactions: SDG
Mnufaika wa bishara za huyu bwana
 
Reactions: SDG
Wakulaumiwa ni vyombo vyetu vya usalama, viko weak kiasi jamaa ya aina hii wanaweza kufanya watakalo.
Tusipo badili mfumo wa utawala basi tutegemee mazalio mengi ya aina hii.
Ilikuwa ukimgusa huyu jamaa zinapigwa simu kutoka kwa watu wakubwa nchini sijui sasa hivi?
 
Reactions: SDG
Jpm atake action kwa huyu mtu kikwete alikuwa anamlea.
 
Reactions: SDG
Kikwete alimlea sana huyu mtu kisa ni mbia wa marafiki zake Wakina Rostam ambao ndiyo wapiga dili wakubwa Jpm tenda kazi kwa huyu mtu ni kipolo kilichobaki kwenye kazi yako.
Sasa kama ndio wanamlea bashite unadhani hapo kuna kazi.
 
Reactions: SDG
Hivi Saidi yuko wapi? Anaendeleaje na ile tindikali aisee watu mnajua kufukunyua nilishaisahau hii stori
 
Chukii tu zinawasumbuaa ni dhambi kuwa na helaa
 
Mkuu kama ni kweli umetisha
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…