Mfanyabiashara wa Kenya mahakamani Arusha

H
Huyu mkenya yupo vizur anamilik Range kabisa sio geza mtanzania maskini wa kwa mtogole kule@
Manji alienda police na Range rover autobiagraph model ya 2017 siku ametoka mahakamani katoka anakimbia hadi kwny altezza,ndukiiiiiiiiii hahah.
 
H
Huyu mkenya yupo vizur anamilik Range kabisa sio geza mtanzania maskini wa kwa mtogole kule@

Teh teh teh tihiii
wewe usitutie aibu wanaume. utajiri haupimwi kwa range. hiyo ni liability, unapimwa kwa assets anazomiliki mtu.
halafu ukome kuongelea vitu wanavyomiliki wanaume wenzako. hizo ni story za kinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…