DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sisi watanzania hatuna akili kabisa kama nchi zingine huo ujinga haungekubalika.niliwahi kutoa ushauri humu ndani kama mnaona gari halina namba au linatumia plate name STL hao ni mashushushu wa polisi hivyo msikubali kuona mtu anachukuliwa.pigeni mwano mlishambulie hilo gari kwa kila aina ya silaha na pia kulichoma moto gari hilo.
 
Kuna updates zozote kuhusu huyu jamaa, mkuu?
 
JPM hayupo bado watu wanapotea,halafu anaibuka mtu anadai ooh JPM alikuwa anawapoteza.Hicho kitabu waliomfadhili watashangaa hakuna mauzo na naomba watu wa fedha wanaoshuruhulikia fedha halamu na utakatishaji wamfuatilie huyu Kabendera kwa kuwa kuna fedha zitaingia harafu atajifanya ni mauzo ya kitabu.
 
Umeandika mafi mafi. Watu wakiuwawa au kupotea lazima wenye mamlaka wahojiwe.

Ulitaka watu wakuhoji wewe?
 
Hivi kwani JamiiForums kitengo cha habari kwa umma hakuna kiongozi wa habari anayeweza kupiga simu hizo za familia kujua na kutujuza kinachoendelea,maana taarfa zikija wakati wa kumtafuta akipatikana hawarudi JF.
Tunabaki kufufua uzi bila majibu.
Moderater mliangalie hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…