Biasharaya utumwa ilifanywa muda mrefu sana karibia miaka 300Ilichukua muda gani kufanya safari zote hizo?
Huwa tunawalaumu sana waarabu ila ki ukweli machifu na watawala wa kipindi hicho waliichagiza sana hii biashara kushamili.Biasharaya utumwa ilifanywa muda mrefu sana karibia miaka 300
Hao watumwa wake waliomteka walikuwa na ubinadamu ndani yao,angekutana na waliopinda wangemtupa baharini ๐Pamoja na kuonja joto la jiwe la kua mtumwa, mwamba alipokomboka bado akarudia kuwauza wenzie.
Walitaka nae aonje utumwa ukoje, bad enough hakujifunzaHao watumwa wake waliomteka walikuwa na ubinadamu ndani yao,angekutana na waliopinda wangemtupa baharini ๐
Tupe na habari za 'Tiputipu' mfanyabiashara mkubwa wa watumwa eneo la maziwa makuu na Africa mashariki.Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa ๐ธ๐ณ Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara wa ulaya
Hata hivyo, katika mojawapo ya shughuli zake za kibiashara, maisha ya Diallo yalibadilika sana. Alipokuwa akisafirisha watumwa kwa ajili ya kuuzwa, alitekwa nyara, na watu wale wale aliokusudia kuwauza, na kusafirishwa kwa meli hadi Maryland, Marekani.
Huko Amerika, Diallo alikataa kukubali hadhi yake mpya kama mtumwa. Tofauti na wengine wengi, aliweza kusoma na kuandika Kiarabu, ujuzi ambao alishiriki na Waislam wengi wa Kiafrika wa wakati huo. Diallo alitumia ujuzi huu kumwandikia babake barua huko Afrika, akiomba uhuru wake.
Bwana wake alipogundua barua hiyo, aligundua kwamba Diallo alitoka katika familia ya kifalme. Ufichuzi huu ulipelekea Diallo kupelekwa Uingereza, ambako alipata uhuru wake tena. Hatimaye, Diallo alirudi Afrika.
Alirejea kufanya biashara ya utumwa aliporudi Afrika.
Hakomi๐View attachment 3282397
Alishirikiana na qazawa km kina Nyungu ya mawe na kina MiramboTupe na habari za 'Tiputipu' mfanyabiashara mkubwa wa watumwa eneo la maziwa makuu na Africa mashariki.
Huyu 'Tiputipu' alikuwa mwarabu?Alishirikiana na qazawa km kina Nyungu ya mawe na kina Mirambo
Miaka 1700 hiyo barua ilitumwaje kwenda kwa baba yake yeye akiwa ni mtumwa? Kuna mambo hayajakaa sawa hapaDiallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa ๐ธ๐ณ Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara wa ulaya