hakika kweli dunia inaelekea kubaya, majuzi binti mmoja walikutwa wakijibizana na dada mmoja mweupe kiasi kwamba walikuwa wakitoleana matusi yasioongeleka,,kutokana na hilo mama mmoja akajiolea kuwaunganisha ili kupata tatizo nini;alipooambiwa swala ni huyu anatembea na bwana wangu;mwingine we ndie ulieniletea ukimwi;loh!!!waluipodadisiwa ndipo ilipojulikana walikuwa mende wa yule mwanamziki wa tanzania "MR BLUE""
pole sana kijana naona karibuni umekuwa na kashfa nyingi za ngono kuwa makini kijana