Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Mfanyakazi wa kike anahitajika
Mawasiliano: 0684054688
Haya maelezo ni noma.Mfanyakazi wa kike anahitajika
Mawasiliano: 0684054688
Nashindwa kutaja kwasababu najikuta uzi umeunganishwa na wa mtu mwingineHaya maelezo ni noma.
Husemi ni wapi, husemi ni kazi gani, husemi mtu awe na vigezo gani, etc. We unataka tu msichana..duh
Hapana, ni binti wa kaziWe unatafuta mke si bure
Kazi ya kulea mtotoKazi gani?
Kazi ya kulea mtoto
Mkoa Dar es Salaam, mshahara watakubalianaMshahara na Mkoa...?