Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

90sgeneration

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
421
Reaction score
502
House KEEPER ANAHITAJIKA.

Umli miaka 22-30
Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi

Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk.

Karibu sana

UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
 
House KEEPER ANAHITAJIKA.

Umli miaka 22-30
Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi
0777205565

Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk.

Karibu sana

Karibu sana
Duh, sisi wa kiume hatuna bahati kabisa, ukikosa wa kike naomba nistue tafadhali nije chaap
 
House KEEPER ANAHITAJIKA.

Umli miaka 22-30
Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi
0777205565

Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk.

Karibu sana

Karibu sana
Mshahara mzuri una rangi na kadhalika gani?
 
Namba hiyo haipokelewi,inakatwa,wadau wengi wanataka kazi,ila sasa kwa hali hii mnazingua,kuweka tangazo halafu hampokei simu na kuleta taharuki.Mnazingua .
 
Mshahara mzuri kama nini

Namba hiyo haipokelewi,inakatwa,wadau wengi wanataka kazi,ila sasa kwa hali hii mnazingua,kuweka tangazo halafu hampokei simu na kuleta taharuki.Mnazingua .
nipigie nilitoka
Namba hiyo haipokelewi,inakatwa,wadau wengi wanataka kazi,ila sasa kwa hali hii mnazingua,kuweka tangazo halafu hampokei simu na kuleta taharuki.Mnazingua .
nilitoka kidogo nikaacha simu, piga
 
Back
Top Bottom