stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 887
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji.
Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma
Jinsia: awe mwanamke /msichana
Umri: 18-25
Mshahara: Tsh 70,000/-
Kuishi: Atalala kwa boss sio wa kwenda na kurudi.
Kula: Kwa boss
Muda wa kazi: saa 2asubuh hadi saa 3usiku
Elimu: Kuanzia darasa la saba, mwenye elimu ya form four atapewa kipaumbele.
Wadhamini: Awe na wadhamini wawili watakaomuandikia barua ya kumdhamini na wenye vitambulisho vya NIDA, na barua ya serikali za mtaa anapotoka.
Kuanza kazi: Awe tayari kuanza kazi mara moja, hata leo kuanza kazi akipatikana.
Jinsi ya kutuma maombi:
Tuma private message , au tuma meseji 0786497948 ukiweka maelezo na namba yako ya simu.
Mengineyo:
Kwa muombaji wa nje ya Dodoma ukikubaliwa kazi uwe tayari kuja kwa nauli yako.
Mwisho wa kupokea maombi tarehe 10/5/2021