Mfanyakazi wa ndani anatafutwa(house girl)

Mlonda

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
2
Sehemu ya kazi ni Mbezi Beach-Dar es salaam.

Awe na umri kati ya miaka 22 na 30
Awe na uzoefu wa kazi za ndani na kulea mtoto wa mwaka mmoja.
Awe anajua kanuni na sheria za kazi kama mfanya kazi wa ndani.
Awe na akili timamu.
Asiwe mwizi au mdokozi nk.
Awe na mdhamini.
Mshahara ni makubaliano lakini chakula na malazi zitagharamiwa na mwenye nyumba.

kwa mawasiliano piga namba 0713821301
 
Yaani unatafuta houseboy wa kulea mtoto wa mwaka mmoja! Wonders will never cease.
 
hivi unawajua mahgirls??, kuwa makini na mahala unapotafuta, yaani awe anajulikana etc usije juta, tena una katoto kadogo mhh be careful mzazi mate
 
na mimi natafuta
Awe na umri kati ya miaka 22 na 30
Awe na uzoefu wa kazi za ndani na kulea mtoto wa mwaka mmoja.
Awe anajua kanuni na sheria za kazi kama mfanya kazi wa ndani.
Awe na akili timamu.
Asiwe mwizi au mdokozi nk.
Awe na mdhamini.
Mshahara ni makubaliano lakini chakula na malazi zitagharamiwa na mwenye nyumba.
AWE NA UMBO LA KUVUTIA
MWENDO WA MARINGO
KIUNO DONDORA
SAUTI YA KUVUTIA
NYWELE ZA BRAZIL WIGI SIJUI WEAVING MNAJUA WENYEWE
KALIO LA HAJA
 
Weka wazi mshahara tsh ngapi?
70,000 kwa mwezi.
Upo tayari.
 
Yupo lakin hana akili timamu!!
Unamtaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…