Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Sep 2, 2024 #1 Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Sep 2, 2024 #2 Anatoa utelezi kwa vijana wa nyumbani?