Mfanyakazi wa serikali kugombea ubunge/udiwani: naomba mwongozo.

Mfanyakazi wa serikali kugombea ubunge/udiwani: naomba mwongozo.

nsami

Senior Member
Joined
Jun 11, 2010
Posts
175
Reaction score
8
Salaam wandugu!
Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;-

1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu?

2.Anapaswa kufanya nini anapotaka kutimiza azma yake bila ku-violate sheria husika?
Ahsante
 
1. Kuna nyaraka mbalimbali za serikali kama standing order na public service act, 2002 na kanuni zake.

2. Anapaswa kuresign katika post yake hiyo ya ualimu, daktari n.k.
 
Back
Top Bottom