N nsami Senior Member Joined Jun 11, 2010 Posts 175 Reaction score 8 Mar 13, 2011 #1 Salaam wandugu! Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;- 1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu? 2.Anapaswa kufanya nini anapotaka kutimiza azma yake bila ku-violate sheria husika? Ahsante
Salaam wandugu! Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;- 1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu? 2.Anapaswa kufanya nini anapotaka kutimiza azma yake bila ku-violate sheria husika? Ahsante
Revolution JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 960 Reaction score 927 Mar 21, 2011 #2 1. Kuna nyaraka mbalimbali za serikali kama standing order na public service act, 2002 na kanuni zake. 2. Anapaswa kuresign katika post yake hiyo ya ualimu, daktari n.k.
1. Kuna nyaraka mbalimbali za serikali kama standing order na public service act, 2002 na kanuni zake. 2. Anapaswa kuresign katika post yake hiyo ya ualimu, daktari n.k.