Mfanyakazi wa Stationery/Typist

Mfanyakazi wa Stationery/Typist

jndetembea

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
27
Reaction score
20
Stationery ipo Mwanza Maeneo ya chuo kikuu cha Mt. Agustino (St. Augusitne University of Tanzania)

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe mkazi wa Mwanza (Maeneo jirani na chuo) (kama sio mkazi awe na pakuishi)
Awe na elimu ya kidato cha NNE na kuendelea
Awe na ujuzi wa computer pamoja na vifaa vingine vya stationery kama vile, printer, laminator, camera n.k
Awe na spidi ya Ku type (at least 40PPM)
Awe msichana mwenye umri wa miaka 21-30
Awe tayari kufanya kazi kwa malipo madogo (baadaye yataongezeka)
Awe na uwezo wa kufanya kaazi kwa kujituma na kujitolea muda wake kikamilifu

TUMA MAOMBI YAKO KWA NJIA YA EMAIL
Joyceissack@gmail.com
Mwisho tarehe 25/11/2021
Wahi kutuma Maombi ili kupata nafasi hii.
 
Back
Top Bottom