meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini.
Hivi ni sahihi kwa mfanyakazi kutoka taasisi kama hii kupata tuzo?

Ni sahihi!
thubutu!Vipi hakuna mfanyakazi yoyote kutoka Air Tanzania aliyepata tuzo ya ufanyakazi bora?
Vipi hakuna mfanyakazi yoyote kutoka Air Tanzania aliyepata tuzo ya ufanyakazi bora?
Huwezi jua, labda ndie Switch Off Master!! Kama ndie anayeshughulikia ukataji umeme, then ana-deserve hiyo tuzo; Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!