Mfaranyaki Secondary itakuwa tishio kitaaluma

Wewe subiri wawapambanishe kitafa!!! Si unajua katika darasa ni lazima kuwe na wa kwanza hata kama ni kwa wajinga kuna yule angalao ni nafuu!!! sijasema vibaya ila ni ukweli. Hebu tupe matokeo yao ya mitihani ya kitaifa kidato cha pili ilikuwaje??
 

Duh songea shule zote mbovu hamna jipya
 
.
Unaelewa maana ya kongwe bwana mdogo?
Kama unaelewa shule ya kata haiwezi kuwa kongwe?

Wewe umeelewaje maana ya shule kongwe? Unataka kusema Mfaranyaki ni sawa na Songea Boys na Songea Girls? Mfaranyaki imeanzishwa mwaka 2007,hapo utasema ni kongwe? Just improve ur thinking capacity siyo kukurupuka kupost vitu usivyo elewa
 
Bombii ii nyumbii ii pale pale pa Mfaranyaki.
 
Wewe umeelewaje maana ya shule kongwe? Unataka kusema Mfaranyaki ni sawa na Songea Boys na Songea Girls? Mfaranyaki imeanzishwa mwaka 2007,hapo utasema ni kongwe? Just improve ur thinking capacity siyo kukurupuka kupost vitu usivyo elewa

.
Sikiliza wewe acha kuwa na fikra mgando...
Kwa akili ya kawaida unaweza kuilinganisha MFARANYAKI na SONGEA BOYS/GIRLS
.
zile ni shule za vipaji bwana mdogo afu zimeanza miaka hiyo sasa leo hii unaweza kuiweka mfaranyaki na boys/girls..... Cha kuwa na mawazo mgando ww.....
.
Sent From My Nokia XL kwa kutumia JamiiForums App
 
Mkuu ushabiki mwingine sio mzuri mbona mfaranyaki s.s kwa matokeo hayo hayo imekuwa ya 16 kati ya 22 kimkoa kwa matokeo ya kidato cha kwanza .sawa kwa kidato cha 3 imekuwa ya 2 kati ya 22. Kwa hiyo mimi nilidhani ingeweka mzani sawa kwa kidato cha 1 na 3. KINIDHAMU shule yenu kaka inatakiwa kuongeza juhudi .wanafunzi wenu wamezidi utoro, wanapenda kukaa pale makaburini wakati wa vipindi sijui hamwaoni? Nilikuwa nawashangaa sana mwaka jana sijui kwanini hamkufunga ile kambi ya form 4? Kimaadili ilikuwa "F" mahusiano ya mapenzi kwa wanafunzi yalikuwa waziwazi.
 

unamatatizo wwe..si bure
 
nasikitikaga sana nikiikumba london ya miaka 5 iliyopita...

kuhusu hiyo mfaranyaki baadae sana.nidham f hakuna taaluma hapo
 

songe grls na boys SIO VIPAJI BALI NI SHULE ZA KITAIFA.
 
nasikitikaga sana nikiikumba london ya miaka 5 iliyopita...

kuhusu hiyo mfaranyaki baadae sana.nidham f hakuna taaluma hapo

.
Kaka kuna shule kama BEROYA hakuna kitu kabisa afu ina jina kubwa sana nashangaa watoto wanapelekwa pale wakitokea zambia lakin hakuna kitu...
.
LONDON & BEROYA & MASHUJAA shule vijana wametawaliwa na mapenzi tu hakuna elimu kabisa
.
Beroya usipeleke mtoto pale
.
 



sasa mkuu unatofautisha vipi mfaranyaki na izo shule unasema? katika suala la mapenzi mfaranyaki inaongoza
 
mmh hakuna k2 ni ukurupukaj na uropokaj wa mtoa mada et kimtihani cha tahosa leta matokeo yanayotambulika kitaifa kama necta form 2 na 4.Nakufahamu sana mwijahe ulishakuwa mropokaj toka namabengo shule ya msingi ukaenda secondary had msamala
 
sasa mkuu unatofautisha vipi mfaranyaki na izo shule unasema? katika suala la mapenzi mfaranyaki inaongoza

.
Kaka post yangu yote sijataja mfaranyaki isome tena
.
Lakini mfaranyaki imewahi kuwa na wanafunzi wengi wenye mimba nadhani tatizo ni kuwa mjini sana
.
 
songe grls na boys SIO VIPAJI BALI NI SHULE ZA KITAIFA.
.
Kufupisha maneno ni hatari sana kwa afya yako unaweza kuja kuzoea alafu ikatokea siku ukabadili maana nzima ya sentense yako....
.
Maneno ya kuandikia sms yatumike mahala pake
.
BTW point taken
.
 

Nahisi wewe ndio una mawazo mgando,ume elewa nilicho ki post kweli? Wewe ulisema Mfaranyaki ni shule kongwe nika kujibu kati ya Mfaranyaki na Songea Boys na Girls ipi ni kongwe? Pia niku sahihishe kidogo kuwa Songea Boys na Songea Girls si shule za vipaji maalum,Tanzania kwa sasa hakuna shule ya serikali ya vipaji maalum,Acha kukurupuka,jaribu ku stay kwenye point
 

Suala la utoro ni tatizo sugu si kwa Mfaranyaki peke yake,pia swala la uhusiano wa ki mapenzi its obvious kuwa Mkoa mzima wa Ruvua watoto na watu wazima wako very oriented kwenye ngono,so sidhani kama hila swala lina wahusu wanafunzi wa Mfaranyaki peke yake,mkoa wa Ruvuma watu wengi wana thamini sana ngono kuliko swala zima la maendeleo na taaluma kwa ujumla
 

.
Hahaaaaa Taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…