Mfaranyaki

Mfaranyaki

Joined
Jul 17, 2016
Posts
6
Reaction score
3
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
 
Nakaa mbele kabisa nikisubiria jibu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
Na pale Manispaa ya Songea,mkoa wa Ruvuma,kuna eneo linaitwa Mfaranyaki.Ngoja wajuzi wa historia waje ili nami niunganishe dots.
 
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
wewe kuna taarifa umezipata ila hazijakutosha nkushauri mtafute mtu anaitwa MOHAMMED SAID yupo humu jf ndio utapata zaidi ikiwemo na vitabu
 
Back
Top Bottom