Mohammedy Al Hajji
Member
- Jul 17, 2016
- 6
- 3
hahahahaaaaa😀🙂Nakaa mbele kabisa nikisubiria jibu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Na pale Manispaa ya Songea,mkoa wa Ruvuma,kuna eneo linaitwa Mfaranyaki.Ngoja wajuzi wa historia waje ili nami niunganishe dots.kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
wewe kuna taarifa umezipata ila hazijakutosha nkushauri mtafute mtu anaitwa MOHAMMED SAID yupo humu jf ndio utapata zaidi ikiwemo na vitabukwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
poa sana mzee ngoja nimchekiwewe kuna taarifa umezipata ila hazijakutosha nkushauri mtafute mtu anaitwa MOHAMMED SAID yupo humu jf ndio utapata zaidi ikiwemo na vitabu
Mohamed Said unaitwa huku mzee vijana wamekwamawewe kuna taarifa umezipata ila hazijakutosha nkushauri mtafute mtu anaitwa MOHAMMED SAID yupo humu jf ndio utapata zaidi ikiwemo na vitabu