Mficha maradhi humumbua

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Kama umewahi kuona kidonda kimejitokeza hasa maeneo ya mdomoni hata kama kimekwisha pona. (Kama pichani)

What if nikikwambia unavirusi walio lala ndani ya mwili wako aina ya HSV-1 Virusi ? Mficha maradhi humuumbua ungetaka kujua tiba na Ekimu yake ?
 
Mkuu umekuwa kama muimba taarabu alafu apa sio mahali pa mipasho ukitaka toa elimu toa Na sio kuleta hivi taarabu zako
 
Kama huyu jamaa yupo kwenye kada ya uuguzi amini nawaambia kuna tatizo kubwa sana
 
Domo jekundu kama umeumwa na nyug shwain kabsaa!!
 
Hili ndo tatzo la Ku copy na kupest ...hujui nini uongezee ..unabandika bango unakimbia
 
i guess wewe na mdau mwandamizi wa uvinza county
Siwezi Fanya huo ujinga lakini amini nakuambia hizi mada za watu kama Hawa huathiri sana saikolojia za watu wengi wanapopatwa Na tatizo Dogo akikutana Na Uzi kama huu anaumwa maradufu hivo sioni sababu ya kuleta mada kama hii kwa Aina hii ya uwasilishaji ambao mleta mada ameleta anatengeneza matatizo zaidi kuliko saidia watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…